Miradi 127+ Imekamilishwa na Timu Zetu. Baadhi ya wateja wetu ni:
1 of 5
  • Fundi Ujenzi

    Tunakuunganisha na mafundi ujenzi wazoefu kwa ajili ya mradi wako, wataojenga kwa ufanisi wa hali ya juu. 

    Ajiri Fundi 
  • Uhandisi

    Tunakuunganisha na wahandisi wa ujenzi kusimamia mradi wako, na kuhakikisha michoro ya kitaalamu inafuatwa na mafundi

    Ajiri Mhandisi 
  • Upimaji Ardhi

    Tunakuunganisha na wapimaji ardhi ili kukusaidia kupata vipimo sahihi vya kiwanja chako, kwa ajili ya hati.

    Ajiri Mpimaji 
  • Usanifu

    Tunakuunganisha na wasanifu wa majengo ili kubuni muonekano wa ndani na nje wa mradi wako, pamoja na utendaji kazi wake.

    Ajiri Msanifu 
  • Vibali Vya Serikali

    Tunakuunganisha na wataalamu wanaorahisisha kufuatilia upatikanaji wa vibali vya serikali, na kukuepushia usumbufu

    Ajiri Mtaalamu Wa vibali 
  • Usimamizi Miradi

    Tunakuunganisha na wataalamu wanaosimamia kila kipengele cha mradi wako, na kuhakikisha timu zote zinashirikiana kufanikisha mradi

    Ajiri Msimamizi 
  • Teknolojia

    Tunakuunganisha na wataalamu wa teknolojia watakaokusaidia kufunga mifumo ya kisasa kama camera, kwenye majengo yako.

    Ajiri Mtalaamu wa Teknolojia 
  • Thamani ya Jengo

    Tunakuunganisha na wataalamu wanaokadiria thamani ya majengo au ardhi kwa usahihi, na kukuepusha na makadirio yasiyoendana na uhalisia

    Ajiri mthaminishaji 
1 of 8

Unahitaji mtaalamu/Fundi wa aina tofauti?

Hujapata ramani unayotaka?